Contact Us

Use the form on the right to contact us.

1418/20 Jamhuri Street
Dar es Salaam
Tanzania

+255 786 455554

mobile-glow.jpg

Uwepo

TANZANIA

Selcom inatoa huduma zifuatazo katika soko la Tanzania:

 • Thamani ya usambazaji wa umeme, kukupa muda wa maongezi kupitia mitandao ya simu, kukuunganisha na mtandao wa malipo, kuendesha mtandao mmoja mkubwa wa malipo kwa ajili ya huduma na kulipia kabla muda wa maongezi.
 • Suluhisho kwa biashara kupitia simu na malipo kupitia simu kwenye benki na mitandao ya simu kubwa hapa Tanzania, ikiwa imeunganisha na waendeshaji wakuu wa mitandao ya simu.
 • Huduma za benki ya mkononi kwenye baadhi ya benki kubwa Tanzania, zikiwemo Standard Chartered Bank, Barclays Bank, Tanzania Postal Bank, Exim Bank, Dar es Salaam Community Bank na Akiba Commercial Bank, kuzitaja chache, pamoja na uendeshaji wa lango za huduma za Airtel Money, Vodafone M-pesa, Tigo Pesa, Zantel Z-pesa, na NMB.
 • Ni kampuni kubwa nchini inayotoa huduma za malipo bila kadi kwa bidhaa mbalimbali kupitia mtandao wenye mashine za mauzo zinazofanya kazi zaidi ya 5,000 Tanzania na 500 Rwanda chini ya chapa ya PayPoint, ikiendesha mfumo mzima wa biashara na ufundi wa ndani kuanzia:
 1. usajili wa muuzaji
 2. mafunzo
 3. msaada wa kiufundi
 4. huduma kwa wateja
 5. usimamizi wa pesa
 6. matangazo
 7. Kutengeneza programu, unganishaji, matengenezo, msaada na utawala

 • Wakala wa mabenki kwa wateja kadhaa muhimu wa mabenki.
 • Huduma za kutoa/kuweka pesa kutumia mashine za POS kwa Vodacom M-pesa, Tigo Pesa na Airtel Money ili kuongeza mtandao wa mawakala na ukwasi.
 •  Wakala mkuu wa Vodacom M-PESA, wa kutoa huduma za hela kwa mawakala wa Vodacom M-PESA nchini kote.

 

UGANDA

Mwaka 2013, kampuni tanzu ilianzishwa nchini Uganda. Miradi ya awali ipo katika ukamilishaji na zinategemewa zitaachiwa hivi karibuni.